Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Chanzo cha Maji Taka pamoja na athari za kimazingira katika Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati

Sauti 10:07

Uzalishaji uliokithiri wa majitaka umekuwa sababu kubwa ya kuharibiwa kwa mazingira katika nchi za Afrika Mashariki na Kati huku uharibifu mkubwa kabisa ukiwa ni vifo vya viumbe hai ambavyo vinapatikana majini kutokana na kukosa oksijeni!!