Jua Haki Zako

Vijana Barani Afrika waendelea kupambana kuhakikisha umaskini unakuwa historia kutekeleza malengo ya Milenia

Sauti 09:47

Dunia inaendelea kufanya kila linalowezekana katika kuhakikisha malengo ya Milenia yanatimia huku Vijana wenyewe wakisaka mbinu katika kuhakikisha umaskini unakuwa historia na kuhakikisha elimu inayokidhi mahitaji inapatikana kwa Vijana Barani Afrika ili kusaidia mchakato wa kukuza uchumi.