Habari RFI-Ki

Hatua za kuchukua kukabiliana na kuangukwa kwa maghorofa na machimbo ya madini katika nchi za Afrika Mashariki na Kati

Sauti 09:54
Mabaki ya jengo la ghorofa 16 ambazo lilianguka juma lililopita nchini Tanzania na kuchangia vifo vya watu 34
Mabaki ya jengo la ghorofa 16 ambazo lilianguka juma lililopita nchini Tanzania na kuchangia vifo vya watu 34 Kwa hisani ya Ikulu ya Tanzania

Nchi za Afrika Mashariki na Kati zimeshuhudia kuanguka kwa majengo ya ghorofa pamoja na mchimbo ya madini na kuchangia vifo vya wananchi. Licha ya kuendelea kushuhudiwa kwa matukio haya lakini bado serikali za Ukanda huu zimeshindwa kuchukua hatua zinazostahiki kushughulikia tatizo hilo!!