Siha Njema

Magonjwa wa Mlipuko yameendelea kuwa tatizo katika Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati yakichangiwa na ukosefu wa maji safi na salama

Sauti 08:44

Magonjwa ya mlipuko yameedelea kuwa changamoto kubwa katika nchi zetu, magonjwa kama vile kipindipindu, kichocho na kuhara. Haya yanasababishwa na ukosekana kwa maji safi na salama na uchafu katika Miji ya Afrika Mashariki na Kati. Juma hili Makala ya Siha Njema yatajikita kuangazia juu ya Magonjwa ya mlipuko hasa kipindupindu