Afrika Ya Mashariki

Mchakato wa kuelekea Uchaguzi Mkuu nchini Burundi na maandalizi ya wanasiasa kabla ya kinyang'anyiro hicho

Sauti 09:23

Mchakato wa kueleka Uchaguzi Mkuu nchini Burundi mwaka 2015 wadau wakiwemo wanasiasa, serikali na Umoja wa Mataifa UN wameendelea kueleza kile wanachoamini kinapswa kufanyika kwa ajili ya mustakabali wa Taifa hilo. Huu ni muendelezo wa makala ambazo zimejikuta kuangazia hali ya kisiasa ilivyo nchini Burundi huku wanasiasa wengi wakilalama demokrasia imebinywa.