Gurudumu la Uchumi

China kuendelea kuzisaidia nchi za Bara la Afrika na athari zinazoweza kupatikana kwa kupatiwa mikopo

Sauti 09:33
Rais wa China, Xi Jinping akiwa na mwenyeji wake rais wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete
Rais wa China, Xi Jinping akiwa na mwenyeji wake rais wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete Reuters

Ziara ya Rais wa China Xi Jinping nchini Tanzania pamoja na hatua ya kuendelea kulisaidia Bara la Afrika kwa kulipatia mikopo ya gharama nafuu. Makala haya yanaangalia hatua hiyo ya China kama itakuwa mzigo kwa nchi za Afrika ambazo nyingi zinakabiliwa na lundo la madeni!!