Wimbi la Siasa

Mustakabali wa Taifa la Kenya chini ya Utawala wa Serikali ya Awamu ya Nne itakayoongozwa na Rais Uhuru Muigai Kenyatta

Sauti 09:55
Rais Mteule wa Awamu ya Nne nchini Kenya Uhuru Muigai Kenyatta akiwa na cheti cha ushindi baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC
Rais Mteule wa Awamu ya Nne nchini Kenya Uhuru Muigai Kenyatta akiwa na cheti cha ushindi baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC

Nchi ya Kenya hivi karibuni ilifanya uchaguzi wake mkuu na kufanikiwa kupata viongozi mbalimbali ikiwa ni pamoja na Rais mpya wa nchi hiyo ingawaje mahakama ya juu ililazimika kuketi na hatimaye kumthibisha Uhuru Muigai Kenyatta kuwa Rais Mteule. Makala ya Wimbi la Siasa hii leo inaangazia hali ya baadaye ya Kenya na changamoto mbali mbali zinazomkabili Rais Mteule huku suala la kesi ya machafuko ya baada ya uchaguzi iliyopelekwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita ICC huko The Hague ikionekana kuwa changamoto kubwa