Muziki Ijumaa

Pascal Lokua Kanza mwanamuziki anayetunga na kuimba kwa lugha tano tofauti nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC

Sauti 10:00
Mwanamuziki Pascal Lokua Kanza kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokarsia ya Congo DRC
Mwanamuziki Pascal Lokua Kanza kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokarsia ya Congo DRC

Makala ya Muziki ijumaa imepiga hodi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC katika jimbo la Kivu Kusini Mashariki mwa nchi hiyo kumuangazia Mwanamuziki anayetambulika kwa jina la Pascal Lokua Kanza. Pascal ni muimbaji pia mtunzi wa nyimbo zake yeye mwenyewe, akitumbuza kwa lugha ya kifaransa, kiswahili, Lingala, Kireno na Kiingereza.