Nyumba ya Sanaa

Muziki wa dansi na bendi ya Extra Bongo ya nchini Tanzania

Sauti 18:49
michuzijr2.wordpress.com

Makala ya Nyumba ya Sanaa juma hili inakuletea mahojiano na Rogat Hega Katapila ambaye ni mmoja wa viongozi wa bendi ya muziki wa dansi ya Extra Bongo yenye maskani yake jijini Dar es salaam nchini Tanzania, ungana na mtangazaji wako Edmond Lwangi Tchelli upate kufahamu mambo mengi kuhusu bendi hiyo na muziki wa dansi nchini Tanzania.