Changu Chako, Chako Changu

Kazi ya fasihi aina ya tashiti

Sauti 19:59

Katika makala ya "Changu Chako, Chako Changu" juma hili tunaangazia kazi ya fahihi aina ya tashiti, kufahamu mengi juu ya kazi za fasihi hii na kazi zake ungana na Karume Asangama na Illiminata Rwelamira mwanzo mpaka mwisho wa makala haya na watakujuza mifano hai ya kazi za fasihi tashiti katika jamii yetu.