Jukwaa la Michezo

Mahojiano na kocha wa zamani nchini Tanzania, Osman Kazi

Sauti 20:39
burudan.blogspot.com

Katika jukwaa la michezo leo hii utapata kusikia mahojiano maalumu na kocha wa zamani nchini Tanzania Osman Kazi ambaye kwa sasa anajihusisha na uandaaji wa mashindano ya soka baina ya wafanyakazi wa makampuni mbalimbali ya Tanzania, Karibu na jiunge na mwanamichezo wako Victror Abuso akizungumza moja kwa moja na Bwana Kazi.