Wimbi la Siasa

Kupelekwa kwa kikosi cha Umoja wa Mataifa kulinda amani mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC

Sauti 09:53
Photo AFP / Isaac Kasamani

Wimbi la siasa juma hili linajielekeza huko nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kuangalia swala la umoja wa mataifa UN kuandaa kikosi maalumu cha kijeshi kitakachoingia mashariki mwa nchi hiyo kupambana na makundi ya waasi licha ya baadhi ya makundi hususani lile la M23 kupinga uamuzi huo, ungana na muandaaji na msimulizi wa makala haya Victor Robert Wile upate kufahamu mengi zaidi juu ya maswala hayo.