Habari RFI-Ki

Muswada wa sheria mpya ya ndoa na talaka nchini Uganda

Sauti 09:58

Karibu katika Habari Rafiki na hii leo tunatazama muswada wa sheria mpya ya ndoa na talaka nchini Uganda ambao umekuwa na mushkeli baada ya kuwepo kwa taarifa za kila mbunge kupewa shilingi za Uganda milioni tano ili kuwezesha upataji wa maoni ya wananchi katika majimbo yao, ungana na mtangazaji wako Flora Mwano upate kufahamu mengi zaidi katika makala haya.