Habari RFI-Ki

Kuanza kutumika kwa nauli mpya nchini Tanzania

Sauti 09:18

Habari Rafiki hii leo inajiegemeza katika suala la nauli mpya ambazo zimeanza kutumika kuanzia hii leo nchini Tanzania ambapo nauli za daladala nazo pia zimeongezeka, ungana na Sabina Crispine Nabigambo ambaye anazungumza na wananchi kujua wao wana mtazamo gani juu ya upandani huu wa gharama za usafiri.