Muziki Ijumaa

Safari ya muziki ya Gerald Maxwell Rivera

Sauti 10:18
www.vibe.com

Mfahamu muimbaji na muandaaji wa muziki wa R&B, funk na soul toka nchini Marekani Gerald Maxwell Rivera maarufu kwa jina la Maxwell, kwa mengi zaidi ungana na msimulizi wa makala hii Lizzy Anneth Masinga.