Jua Haki Zako

Haki za wanawake

Sauti 07:26

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia haki za binadamu hususani haki za wanawake katika nchi za Afrika Mashariki na Kati, ungana na Karume Asangama akizungumzia maswala hayo ambayo yamekuwa chanzo cha ukosefu wa amani katika jamii yetu.