Habari RFI-Ki

Muswada wa sheria ya uandishi wa habari nchini Burundi

Sauti 09:29

Habari Rafiki hii leo inaangazia muswada wa sheria mpya ya uandishi wa habari nchini Burundi ambayo imepitishwa na bunge la nchi hiyo, ungana na Ali Bilali kuangalia maswala mbalimbali juu ya muswada huo ambao umekosolewa na baadhi ya wanahabari na wanaharakati toka nchini humo.