Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Uchafuzi wa mazingira unavyochangia kuenea kwa ugonjwa wa Malaria

Sauti 09:47

Katika makala ya juma hili tunaangazia jinsi gani uchafunzi wa mazingira unavyochangia kuzaliana kwa mbu ambao husababisha kuenea kwa ugonjwa wa malaria, ungana na Ebby Shabani Abdallah ili upate kufahamu mambo mengi zaidi kuhusu uchafuzi wa mazingira.