Afrika Ya Mashariki

Madhara ya kuteketea kwa soko kuu la Bujumbura nchini Burundi

Sauti 09:33
Photo: RFI

Karibu katika makala ya Afrika Mashariki na hii leo tunaangazia madhara yaliyojitokeza katika jamii ya Wanaburundi baada ya kutekea kwa soko kuu katika mji mkuu wa nchi hiyo Bujumbura, muandaaji wa makala haya Julian Rubavu amefika katika eneo hilo na kukuta bado soko hilo lipo chini ya ulinzi na wafanyabiashara wanakosa sehemu mahsusi ya kufanyia shughuli zao hali inayozidisha ukali wa maisha kwa wananchi waliokuwa wanategemea soko hilo kiuchumi.