Gurudumu la Uchumi

Bajeti

Sauti 09:52
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mizengo Kayanza Peter Pinda
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mizengo Kayanza Peter Pinda

Huu ni mwendelezo wa Makala ya juma lililopita kuangazia kile ambacho kiliwasilishwa Bungeni na Waziri Mkuu wa Tanzania, Mheshimiwa Mizengo Kayanza Peter Pinda alipokuwa akiwasilisha bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Maswala aliyoyagusia hasa, Uchumi, Kilimo, Nishati na Maendeleo ya Viwanda.