Mjadala wa Wiki

Bunge

Sauti 14:47
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya,Raila Odinga
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya,Raila Odinga Reuters / Luc Gnago

Mjadala wa Wiki unazungumzia juu ya Mjadala unaoendelea nchini Kenya kuhusu hatima ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Raila Amolo Odinga na aliyekuwa Makamu wa Rais Kalonzo Musyoka juu ya wawili hawa kurejea bungeni