Wimbi la Siasa

Mawaziri

Sauti 10:03
Rais wa Kenya Uhuru Kenyata na Naibu wa Rais William Ruto
Rais wa Kenya Uhuru Kenyata na Naibu wa Rais William Ruto

Makala ya Wimbi la Siasa hii leo inaangazia zoezi linalowakabili Viongozi wa juu wapya nchini Kenya Rais Uhuru Kenyata na Naibu wake William Ruto, kutaja Mawaziri watakaokuwa katika Serikali mpya ya Kenya.