Nyumba ya Sanaa

Mfahamu msanii Natty OJ toka nchini Kenya

Sauti 19:28
facebook.com

Karibu katika makala ya Nyumba ya Sanaa na hii leo tunazungumza na msanii maarufu wa muziki wa ragae toka nchini Kenya Natty OJ, ungana na mtangazaji wako Edmond Lwangi Tcheli upate kujua mengi zaidi juu ya falsafa na malengo ya muziki wa ragae kwa msanii huyu.