Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Ongezeko la Takataka kwenye Miji limekuwa likichangiwa kwa kiasi kikubwa na ukosefu wa miundombinu ya ukusanyaji wa uchafu

Sauti 10:01

Majiji makubwa yamekuwa yakishuhudia ongezeko la takataka kutokana na kukosekana kwa miundombinu ya kisasa inayochangia kukithiri kwa uharibifu wa mazingira katika maeneo mbalimbali. Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako Kesho yanaangalia uwepo wa tatiao hilo!!