Habari RFI-Ki

Serikali ya Tanzania yajiapiza kuwasaka waliohusika kwenye Shambulizi la Bomu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi

Imechapishwa:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete amesema watawasaka magaidi na wale wanaowasaidia baada ya kutekeleza shambulizi la bomu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi Mkoani Arusha na kusababisha vifo vya watu wawili na kuwaacha wengine zaidi ya sitini wakijeruhiwa!!

Waumini wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi wakikimbia ovyo baada ya kutokea shambulizi la kujitoa mhanga kanisani hapo
Waumini wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi wakikimbia ovyo baada ya kutokea shambulizi la kujitoa mhanga kanisani hapo