Jua Haki Zako

Uvunjifu wa Haki za Binadamu umekuwa chanzo cha uwepo wa ukosefu wa demokrasia katika nchi nyingi

Sauti 08:05

Ukosefu wa Demokrasia na maendeleo duni katika mataifa mengine umekuwa ukichochewa na mifarakano inayosababishwa na kutotekelezwa kwa Haki za Binadamu katika nchi husika!!