Afrika Ya Mashariki

Athari za kutothaminiwa kwa mila na desturi za watu wa kabila la Wanyoro linalopatikana Magharibi mwa Uganda

Sauti 09:35

Mila na desturi za makabila mengi Barani Afrika kwa sasa zimeanza kukosa mashiko na hata wakati mwingine kudharauliwa kutokana na uwepo wa utandawazi!! Lakini kabila la Wanyoro linalopatikana Magharibi mwa Uganda limeendelea kusimama kidete kutetea mila na desturi zake na kutaka zitambulike kisheria pia katika katiba ya nchi!!