Habari RFI-Ki
Serikali ya Tanzania yafuta matokeo ya kidato cha nne mwaka 2012 baada ya Tume kubaini kulikuwa na mapungufu kwenye usahihishaji
Imechapishwa:
Cheza - 09:44
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imelazimika kufuta matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2012 baada ya Tume iliyoundwa na Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda kubaini uwepo wa mapungufu na sasa Baraza la Taifa la Mitihani limetakiwa kuyapitia upya na kupanga tena madaraja kwa wananfunzi wote!!