Siha Njema
Tafiti zinavyochangia mapambano ya kutokomeza Ugonjwa wa Malaria nchini Tanzania
Imechapishwa:
Cheza - 09:38
Ugonjwa wa malaria umeendelea kuwa gonjwa linalogharimu maisha ya watu wengi zaidi kwa mataifa yaliyopo Kusini mwa Jangwa la Sahara kipindi hiki ambacho watafiti wanaendelea kusaka dawa ambazo zinaweza kukabiliana na virusi vinavyochangia kuenea kwa ugonjwa huo baada ya dawa zilizokuwa zinatumika awali kutajwa kushindwa kukabiliana na maradhi hayo kwa sasa!!