Mjadala wa Wiki

Mataifa 50 na Mashirika yamekutana nchini Uingereza katika mkutano wenye lengo la kuisaidia Somalia kujijenga upya baada ya kupitia vita vya zaidi ya miongo miwili

Imechapishwa:

Mkutano wa kuisaidia nchi ya Somalia wafanyika nchini Uingereza na kuzileta pamoja nchi 50 pamoja na Mashirika ya Kimataifa lengo likiwa ni kushiriki kwenye juhudi za kuijenga upya nchi hiyo baada ya kupitia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa zaidi ya miongo miwili vikiongozwa na Kundi la Wanamgambo wa Al Shabab!! Washiriki kwenye Mjadala huu ni Mchambuzi wa Siasa kutoka Tanzania Abdulkarim Atiki pamoja na Mchambuzi wa Masuala ya Usalama kutoka Kenya Francis Onditi!!

Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron akiwa na Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud kwenye mkutano wa kuisaidia Serikali ya Mogadishu kujijenga upya
Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron akiwa na Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud kwenye mkutano wa kuisaidia Serikali ya Mogadishu kujijenga upya
Vipindi vingine