Habari RFI-Ki

Utafiti waonesha nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC ni sehemu hatari zaidi kwa wanawake kulea watoto zao

Sauti 09:47
Watoto wanaoishi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC ndiyo wanakabiliwa na hatari kubwa ya kuishi
Watoto wanaoishi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC ndiyo wanakabiliwa na hatari kubwa ya kuishi

Utafiti uliofanywa na Shirika la Save The Children unaonesha kuwa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC ndiyo sehemu hatari zaidi Duniani kwa wanawake kuishia na kuweza kulea watoto zao!! Hatari hii imekuwa ikichangiwa kwa kiasi kikubwa na uwepo wa vita vinavyoendelea huku wengine wakikumbana na madhira ya kubakwa!!