Gurudumu la Uchumi

Wiki ya Umoja wa Ulaya EU iliyokwenda sambamba na kuzinduliwa kwa Mradi wa kuwasaidia Wanawake kutambua haki zao za kijamii na kiuchumi

Sauti 08:29
James davey Mkurugenzi Shirika la Concern Worldwide, Ummy Mwalimu Naibu Waziri Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Felipe Sebregondi Balozi wa Umoja wa Ulaya kwa Tanzania.
James davey Mkurugenzi Shirika la Concern Worldwide, Ummy Mwalimu Naibu Waziri Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Felipe Sebregondi Balozi wa Umoja wa Ulaya kwa Tanzania.

Umoja wa Ulaya EU umefadhili mradi wa kuwasaidia wanawake kutambua haki zao za kijamii na kiuchumi kwa euro bilioni 3 huku suala kubwa ambalo wanalipa kipaumbele ni kuhakikisha wanawake wanapata uhalali wa kumiliki ardhi kutokana na zaidi ya asilimi 50 ya wanawake kukosa haki ya umiliki wa rasilimali hiyo!!