Wimbi la Siasa

Hali ya Usalama ya Mashariki mwa DRC huku Kikosi cha Umoja wa Mataifa kikianza kuwasili Goma

Imechapishwa:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete amekiaga kikosi cha Jeshi kitakachoungana na wanajeshi wengine watakaokwenda Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kukabiliana na Makundi yanayimiliki silaha na kuchangia kuzorotesha hali ya usalama katika eneo hilo!! Rais Kikwete amewataka wanajeshi wa Tanzania kuhakikisha wanaendeleza heshima yao katika masuala ya kijeshi ndani ya Umoja wa Mataifa UN!!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi bendera kwa Kiongozi wa Msafara wa Kikosi kinachoenda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi bendera kwa Kiongozi wa Msafara wa Kikosi kinachoenda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Vipindi vingine