Habari RFI-Ki

Jeshi la Tanzania laelekea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kwa ajili ya kukabiliana na makundi yanayozorotesha usalama nchini humo

Sauti 09:51
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi bendera kwa Kiongozi wa Msafara wa Kikosi kinachoenda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi bendera kwa Kiongozi wa Msafara wa Kikosi kinachoenda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Jeshi la Tanzania limeshatoa kikosi chake kinachoeleka Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kwa lengo la kukabiliana na Makundi yanayomiliki silaha na kuchangia pakubwa kuzorotesha hali ya usalama katika eneo hilo hatua iliyolisukuma Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa UNSC kupitisha azimio la kupeleka kikosi maalum kukabiliana na hali hiyo!!