Habari RFI-Ki

Maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi VVU yameendelea kukua siku hadi siku kwa wanafunzi wa shule za msingi hadi vyuo vikuu

Imechapishwa:

Wanafunzi kuazia Shule za msingi hadi Vyuo Vikuu katika Ukanda wa Afrika Mashariki wameendelea kuwa katika hatari kubwa wa kuambukizwa Virusi Vya Ukimwi na hili linatokana na wanafunzi hawa kujihusisha kwenye mapenzi katika umri mdogo bila ya kuchukua hatua zozote za kujikinga na maambukizi hayo!!

Wanafunzi wa Chuo Kikuu hili ni moja ya Kundi lililoathiriwa na ongezeko la maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi kutokana na kufanya mapenzi bila ya kinga
Wanafunzi wa Chuo Kikuu hili ni moja ya Kundi lililoathiriwa na ongezeko la maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi kutokana na kufanya mapenzi bila ya kinga