Muziki Ijumaa
Nyboma Mwan'dido mwanamuziki kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC aliyejizolea umaarufu katika miondoko ya Soukous
Imechapishwa:
Cheza - 09:46
Makala ya Muziki Ijumaa leo yanapiga hodi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC na kukutana na mwanamuziki mashuhuri Nyboma Mwan'dido ambaye ameweza kuvuma sana kutokana na umahiri wake katika miondoko ya Soukous!!