Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Wanajeshi wa FARDC yakabiliana na Wapiganaji wa Mai Mai na kusababisha vifo vya watu 40 huku Mataifa ya Magharibi yakishinikiza kuondoka madarakani kwa Rais Assad
Imechapishwa:
Cheza - 21:07
Mapigano makali yazuka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kati ya wapiganaji wa Kundi la Waasi la Mai Mai walipovamia Kambi ya Wanajeshi wa FARDC na kusababisha vifo vya watu 40, Mataifa hisani yachangia euro bilioni 3.25 kuisaidi Mali kuweza kujijenga upya pamoja na kuandaa uchaguzi mnamo mwezi Julai na Mataifa ya Magharibi yanaendelea kuongeza shinikizo kwa serikali ya Rais Bashar Al Assad iondokea madarakani huku umwagaji wa damu ukiendelea kuongezeka!!