Habari RFI-Ki

Biashara ya watoto

Sauti 09:31

Makala ya Habari Rafiki hii leo inaangazia suala la biashara ya watoto nchini Nigeria ambalo moja kwa moja linahusishwa na biashara ya binadamu inayopigwa vita na watetezi wa haki za binadamu duniani, kuangazia hayo utakuwa naye Flora Mwano, karibu.