Habari RFI-Ki
Kumbukumbu ya miaka 17 tangu ajali ya meli ya MV BUKOBA kuua maelfu nchini Tanzania
Imechapishwa:
Cheza - 08:42
Makala ya Habari Rafiki hii leo inajadili usalama wa vyombo vya usafiri wa majini wakati wa maadhimisho ya miaka kumi na saba tangu kutokea kwa ajali ya meli ya MV Bukoba,katika ziwa Victoria,Mwanza Tanzania ambapo maelfu ya wat walipoteza maisha.