Habari RFI-Ki

Polisi yavamia ofisi ya vyombo vya habari Uganda

Sauti 09:50
Eneo la Afisi za gazeti la Daily Monitor la nchini Uganda likiwa chini ya ulinzi wa polisi.
Eneo la Afisi za gazeti la Daily Monitor la nchini Uganda likiwa chini ya ulinzi wa polisi. thestar.com

Makala ya Habari Rafiki inajikita nchini Uganda ambapo wasikilizaji wa Afrika mashariki na kati wanajadili kuhusu hatua ya jeshi la polisi kufanya uvamizi katika ofisi ya gazeti la Daily Monitor..