Gurudumu la Uchumi

Harakati za kuinua uchumi barani Afrika kupitia Mkutano wa kiuchumi mjini Kigali

Sauti 09:19
Paul Kagame rais wa Rwanda
Paul Kagame rais wa Rwanda REUTERS/Gus Ruelas

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaiangazia ripoti ya uchumi ya Afrika ambayo inaitaka Afrika kuwa sikivu na kutekeleza hatua za kuinua na kubresha uchumi wake,kama ilivyojadiliwa katika mkutano uliofanyikia nchini Rwanda jijini Kigali.