Habari RFI-Ki

Kuendelea kwa Muziki unaochangia kuvunja maadili,maarufu kama kanga moja Tanzania

Sauti 10:14
Harakati za kupiga vita aina ya miziki inayochezwa kwa mavazi ya nusu utupu zimeendelea nchini Tanzania ingawa bado changamoto ni kubwa
Harakati za kupiga vita aina ya miziki inayochezwa kwa mavazi ya nusu utupu zimeendelea nchini Tanzania ingawa bado changamoto ni kubwa extrabongo.blogsport.com

Makala ya habari rafiki leo inaangazia muziki unaopigwa marufuku mjini Dar es Salaam kwa kuchochea vitendo viovu na uvunjifu wa maadili inayojulikana kama Khanga moja.Jeshi la polisi nchini Tanzania limekuwa katika harakati  za kutaka kukomesha uchezaji huo,wasikilizaji wanasemaje...