Habari RFI-Ki
Harakati za kupiga vita biashara za kuuza miili Afrika mashariki zina changamoto!
Imechapishwa:
Cheza - 09:55
Habari rafiki hii leo inaangazia suala la biashara ya kuuza miili inavyofanywa na akina dada wa Afrika mashariki ambao bado hawajali makalipio mbalimbali na harakati za kupinga biashara hiyo ambayo imechangia matatizo mengi katika jamii za sasa.