Changu Chako, Chako Changu

Michezo inayoshirikisha nchi zinazozungumza lugha ya Kifaransa

Sauti 19:53

Karibu katika kipindi hiki ambapo hii leo utasikia mengi kuhusu michezo ya mwaka huu inayoshirikisha nchi zinazozungumza lugha ya Kifaransa, kujua mengi zaidi ungana naye Karume Asangama akiwa na Iliminata Rwelamira.