Changu Chako, Chako Changu

Vichekesho aina ya Tashiti

Sauti 20:32

Makala ya Changu Chako, Chako Changu juma hili inaangazia Tashiti ambayo waweza kuielezea kama aina fulani ya kazi ya sanaa inayohusisha uchekeshaji au udhalilishaji, basi kujua mengi zaidi ungana na Karume Asangama akiwa na Illiminata Rwelamira katika makala haya.