Nyumba ya Sanaa

Wasanii Tanzania waomboleza msiba wa mwana hip hop Albert Mangweha

Sauti 20:04
Msanii wa Muziki wa Hip Hop nchini Tanzania Albert Mangweha afia Afrika Kusini.
Msanii wa Muziki wa Hip Hop nchini Tanzania Albert Mangweha afia Afrika Kusini. salimjembe.blogsporti.com

Makala ya Nyumba ya sanaa imejikita katika msiba wa msanii wa miondoko ya  Hip HOP jijini Dar es Salaam nchini Tanzania Albert Mangweha aliyefariki ghafla nchini Afrika ya Kusini mwishoni mwa mwezi May.