Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Hali ilivyo na athari za ukataji miti katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia Congo DRC
Imechapishwa:
Cheza - 09:50
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC ni moja ya nchi iliyobarikiwa kuwa na utajiri mkubwa wa misitu lakini imeanza kukumbwa na changamoto ya ukataji wa miti inayochangiwa kwa kiasi kikubwa na shughuli za kibinadamu kitu ambacho kimeanza kuleta athari kwa jamii!!