Siha Njema

Ukosefu wa madini joto umekuwa chanzo cha magonjwa ya matezi pamoja na watoto kuzaliwa na mtindio wa ubongo

Sauti 10:04

Madini ya joto ni moja ya vitu muhimu sana kwenye mwili wa binadamu na iwapo kutakuwa na ukosefu wa madini hayo mtu anaweza akapata madhara kwa kupata magonjwa na madhara. Wanawake wajawazito wakikosa madini ya joto inaweza ikawa sababu kubwa kwa watoto ambao watazaliwa wakiwa na mtindio wa ubongo pamoja na kuzaliwa wakiwa na tezi la shingo!!