Wimbi la Siasa

Mapendekezo ya rasimu ya katiba nchini Tanzania yazua maswali mengine baada ya kuonekana yanaweza yakachangia mabadiliko ya mfumo

Sauti 10:02
Makamu wa Rais wa Tanzania Dr Mohamed Gharib Bilal akionesha rasimu ya katiba mpya akiwa na Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Joseph Sinde Warioba
Makamu wa Rais wa Tanzania Dr Mohamed Gharib Bilal akionesha rasimu ya katiba mpya akiwa na Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Joseph Sinde Warioba

Wananchi wa Tanzania wameendelea kupitia na kusoma rasimu ya katiba iliyotolewa jumatatu hii na Tume ya Mabadiliko ya Katiba huku masuala ya haki za binadamu, serikali tatu na kuundwa kwa mahakama ya juu yamezua maswali mengine miongoni ma wananchi!!