Muziki Ijumaa
Marie Daulne mwanamuziki kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambaye anaongoza Bendi ya Zap Mama
Imechapishwa:
Cheza - 10:09
Makala ya Muziki Ijumaa hii leo inamuangazia Mwanamuziki Marie Daulne toka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, Mwanamuziki huyu ana asili ya Ubelgiji na Mama yake Raia wa Congo. Daulne ni Kiongozi wa Bendi ya Zap Mama.